Sunday 15 June 2014

SULEIMAN MOHAMED (BOB SULE)

SULEIMAN MOHAMED (BAB SULE) Akiwajibika ipasavyo katika filamu ya sihri Suleiman ni msanii mwenye juhudi na anaependa kuona jambo analolishiriki likikamilika kwa kiwango kilichokusudiwa uwepo wake katika filamu ya SIHRI umeifanya filamu hiyo kuwa sehemu ya darasa la uigizaji pia MAADILI MOVIES ( ulimwengu muruwa wa filamu zenye heshima)

No comments:

Post a Comment