Monday 16 June 2014

TAZAMA FILAMU YA SIHRI HAPA

      katika kuthibitisha kuwa jamii imepata wa kuiburudisha na kuielimisha MASH PRODUCTION imekuandalia na kwa ushirikiano na MADRASA SHOP wanakuletea filamu kabambe ya SIHRI filamu ambayo imechezwa na waigizaji wenye uwezo mkubwa katika ulimwengu wa filamu za maadili hapa nchini ,Said Kinyogoli, Suleiman Mohamed, Fahd, Bilali, Munawwar, Samiya, Hasan China, Sanura, pamoja na wengine weeengi pata nakala yako

1 comment: