Thursday 17 July 2014

NUSRA IMEFIKA KWA WAPENDA MAADILI

Licha ya kuonesha dalili njema katika upokewaji wake kwa jamii ya ndani na nje bado nasisitiza kuhakikisha unanunua nakala halisi ya filamu hii ya NUSRA, epuka kununua DVD isiyohalisi, Zanzibar na Tanga jiepusheni kwa hilo, support yenu ni muhimu sana katika tasnia hii ya filamu ya za Maadili Movies. Nawapenda saana! Inapatkana katika maduka yooote yanayouza DVD Tanzania, na inasambazwa na Steps Entertainment LTD
Photo: Licha ya kuonesha dalili njema katika upokewaji wake kwa jamii ya ndani na nje bado nasisitiza kuhakikisha unanunua nakala halisi ya filamu hii ya NUSRA, epuka kununua DVD isiyohalisi, Zanzibar na Tanga jiepusheni kwa hilo, support yenu ni muhimu sana katika tasnia hii ya filamu ya za Maadili Movies. Nawapenda saana! Inapatkana katika maduka yooote yanayouza DVD Tanzania, na inasambazwa na Steps Entertainment LTD
 . 
Katika kufurahia muendelezo wa uhondo wa filamu za maadili AMASH production imeingiza sokoni filamu ya nusra ni burudani na elimu ndani yake hakikisha unapata nakala yako mapemaaaa

No comments:

Post a Comment