Sunday 15 June 2014

FILAMU YA SIHRI IMEIVA

 Muasisi wa filamu za Maadili nchini Tanzania mwalimu Said Kinyogoli akishiriki katika filamu mpya aliyoiongoza, filamu hiyo inayotambulika kwa jina la SIHRI imekamilika na hivi karibuni itaanza kuleta faida katika majumba ya wadau
Abdallah Mkuraysh mmoja katika washiriki wa filamu ya sihri akiwajibika location hivi karibuni, Mkuraysh ametoa mchango mkubwa wa uigizaji na kuifanya filamu hiyo kuwa ni kitu chenye thamani kubwa kutoka MAADILI MOVIES

No comments:

Post a Comment