Sunday 15 June 2014

NURAT KIPATI

katika hali ambayo haikutarajiwa lakini ndio imeshakuwa binti mdogo mwenye kipaji cha kughani na sauti yenye kupendeza anayejulikana kwa jina la ukhti Nuurati kutoka MAADILI MOVIES anakuja tena kwa jamii na album nyingine ya Qaswida inayokwenda kwa jina la DALILI ni album iliyosheheni qaswida zenye ujumbe na kuburudisha hakika ameruzukiwa zaidi kuhusu ukhti huyu usitutenge humu

ujio huu wa burudani zenye maadili na mafunzo unahitaji mapokezi mazuri kutoka kwako wewe mwanachi mwenye kupenda kuheshimiwa

No comments:

Post a Comment