Sunday 15 June 2014

FILAMU YA SIHRI KUTOKA MAADILI MOVIES


MUHUSIKA MKUU KATIKA FILAMU YA SIHRIA

GFDURTIIFY 

Anajulikana kwa jina la Samiya Abdul ni binti aliyeonesha uwezo mkubwa katika fani ya kuigiza ndani ya ulimwengu wa filamu zenye heshima zijulikanazo kama maadili movies ameigiza kama binti aliyeshika vema dini ya kiislamu akiwa katika umri mdogo sana na elimu hiyo ikabakia kuwa hazina na ukombozi hadi kwa wazazi wake  tazama filamu ya sihri kutoka Mash Production uone ukubwa wa uwezo wa wasanii wa filamu za maadili hapa nchini.

2 comments: