Thursday 17 July 2014

LUQMAN KUINGIA SOKONI

Katika kukua na kutanuka kwa ujio wa filamu za maadili safari hii kutoka IHSAN PRODUCTION wanakuleteeni bonge la filamu linalojulikana kwa jina la LUQMAN huku wadau wakuu wa filamu za maadili wakikaa mkao mzuri wa kuipokea filamu hiyo ambayo maudhui yake yanaonesha umuhimu wa ibada kwa wanadamu nawe pia jiongoze kujipatia kopi yako mapema insha Allah

No comments:

Post a Comment