Thursday 17 July 2014

RAMADHANI MUBAARAK NA FILAMU YA SIHRI

Hakika ni furaha kwa wadau wa filamu za maadili hapa nchini kwa kuipokea burudani ya filamu ya sihri hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhani filamu imebeba ujumbe mzito na wenye mafunzo ya aina yake

2 comments:

  1. shuhudia filamu ambayo iko tofauti kabisa na unavyoifikiria bila shaka kuna jipya katika ulimwengu huu wa filamu za maadili

    ReplyDelete
  2. YANITAMANISHA NA KUNIFANYA NIIPENDE KABLA SIJAIONA

    ReplyDelete